Sanamu la kumuenzi mke wa Trump, Melanie Trump mwenye asili ya nchi ya Slovenia .limeibiwa na maharamia wa biashara ya vitu vya sanaa wanaojulikana kama Art Thieves
Inasemekana hilo sanamu liliakisiwa kwa thamani ya milioni ya dola liteenda kuuzwa kwa wakusanyaji wa sanaa za wizi huko nchini China ...