MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kuna habari kuwa sanamu maarufu jijini Dar itahamishwa na kupelekwa mwenge vinyago na hivyo kukuza utalii katika soko maarufu la vinyago la Mwenge,habari hiyo inadai kuwa sanamu hiyo kuwa Posta inakuwa haina tija sana kama ingekuwa maeneo ya Mwenge yenye idadi kubwa ya watalii ukilinganisha na posta yenye idadi kubwa ya maofisi .
Taarifa hiyo inadai uhamisho huu utafanyika mara moja baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa meya wa jiji
Taarifa hiyo inadai uhamisho huu utafanyika mara moja baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa meya wa jiji