Mbona ina chunusiWacongo wameanza kuwa kama wakenya sasa,
Haiwezekani samatta mTz wamtengenezee sanamu halafu itumike kama kivutio cha utalii wanaendelea kupiga pesa tu..
Sisi wabongo tumelala sana
Picha iko wapi
Huko vijijini sehemu nyingi hakuna vyoo. Yet tunajiita matajiriHapa Tz mlisema itawekwa sanamu ya diamond nadhani inawatosha.
Ila badala ya kujenga sanamu na kuziabudu tujikite kwenye ujenzi wa vyuo vya watoto vya mpira wa miguu.
Sent using Jamii Forums mobile app