Sanamu za washindi za Olympics Kenya ni aibu

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mamlaka zimeondoa sanamu za wanariadha watatu wa Olimpiki kufuatia malalamiko ya wananchi kuwa ni dhihaka, 15 Agosti 2024.


Sanamu hizo, ziliwakilisha wanariadha maarufu Faith Kipyegon na Eliud Kipchoge, walioshinda katika Mashindano ya Olympiki huko Ufaransa


Mji wa Eldoret, unajulikana kama "Nyumbani kwa Mabingwa," kwani wengi wa washindi wa kimataifa nchini humo hutokea huko.



=================For English Audience============

Authorities in the Kenyan city of Eldoret have removed the statues of three athletes after they were widely ridiculed and described as "embarrassing" and a poorly done "joke".

The statues were unveiled ahead of Thursday's ceremony giving Eldoret city status.

However, local residents and Kenyans online said they bore little resemblance to the athletes they allegedly represent.

Eldoret is known as the "home of champions”, as it is at the centre of the Rift Valley, where most of Kenya’s world-beating athletes come from.

SOURCE: BBC
 
Vip sanamu za watanzania wa olypic? Au sie kazi yetu ni kuandika vya wenzetu
 
bora wao kuliko tz nchi ya wafu tunachoweza ni mapambio ya ccm na mama.
hizo sanamu zinatofauti gani na roboti la nape
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Venye wakenya wako siriaz kwa kila kitu
 
Za wa kwenu ziko wapi? Taifa la wajinga,
 
Leteni habari kwa usahihi, kipchonge kabaki kua legend tu ila marathon ya Paris sio kwamba tu hakushinda, Bali alishindwa hata kumaliza marathon yenyewe
 
Au ile ya Kigwangalla
yaani mkuu sisi hatuna tunaloweza alafu tutawacheka wenzetu kwa sanamu tu ambayo hawajaagiza nje na kizuri zaidi wameshinda medali na kuipa nchi yao ushindi..... sisi tunabaki kubeza na kuimba mapambio ya fulani anaupiga mwingi kila kitu ni kusifia raisi kwamba wabunge na watendaji wengine hakuna kitu wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…