Sanara Food Yavunjwa

Sanara Food Yavunjwa

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Mgahawa wa Sanara Food Uliopo Jengo La Palm Village Umevunja.

MMiliki wa Mgahawa Huo Amelalamikia Kitendo Hko.

ANadai hakupewa Taarifa na by husika, Anadai ni amri ya Mahakama.

Wakuu Mgahawa wa Sanara Food Uliopo Jengo La Palm Village Umevunja.

MMiliki wa Mgahawa Huo Amelalamikia Kitendo Hko.

ANadai hakupewa Taarifa na by husika, Anadai ni amri ya Mahakama.

View attachment 1902691
Pole kwake. Ila asitafute public sympathy, kutakua na tatizo na yeye analijua maana ni amri ya mahakama.A deal na hilo tatizo; sio kurekodi clip za kutafuta huruma bila kuelezea kiini cha tatizo.
Naona na yeye anajiita mwananchi wa kipato cha chini.
 
Pole kwake. Ila asitafute public sympathy, kutakua na tatizo na yeye analijua maana ni amri ya mahakama.
Naona na yeye anajiita mwananchi wa kipato cha chini.
Yes anajificha kwenye womb ya Kipato Cha Chini, Sidhani Kama Kama Kuna Mtu angeibuka Tu Na Kwenda Kuvunja Eneo La Mtu, anajua kinachoendelea
 
Ndio kakutuma uje kutafuta huruma huku? Haisaidii
 
Yaani anataka kusema hajui sababu??
Yaani from no where watu waje kuvunja tu sehemu bila sababu yoyote.

Walau basi angeeleza kidogo sababu na sio kulia namna hiyo bila maelezo.
 
Nini kilipelekea hadi mahakama ikatoa hiyo amri?

Hatujapata stori ya kwanza nini kilitokea kwanza kabla ya kuja kuvunja.

Mshauri afuate sheria.
 
Back
Top Bottom