Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Pole kwake. Ila asitafute public sympathy, kutakua na tatizo na yeye analijua maana ni amri ya mahakama.A deal na hilo tatizo; sio kurekodi clip za kutafuta huruma bila kuelezea kiini cha tatizo.Wakuu Mgahawa wa Sanara Food Uliopo Jengo La Palm Village Umevunja.
MMiliki wa Mgahawa Huo Amelalamikia Kitendo Hko.
ANadai hakupewa Taarifa na by husika, Anadai ni amri ya Mahakama.
View attachment 1902691
Yes anajificha kwenye womb ya Kipato Cha Chini, Sidhani Kama Kama Kuna Mtu angeibuka Tu Na Kwenda Kuvunja Eneo La Mtu, anajua kinachoendeleaPole kwake. Ila asitafute public sympathy, kutakua na tatizo na yeye analijua maana ni amri ya mahakama.
Naona na yeye anajiita mwananchi wa kipato cha chini.
Ni wapi Nimeandika Kanituma?Ndio kakutuma uje kutafuta huruma huku? Haisaidii