Sanchi: Najutia Uzee Wangu na mitandao

Uzee wake mpaka wazee watakuwa wanafanya zaidi ya hayo kwa hiyo itakuwa kawaida tu.

Its downhill all the way from here.

Its the second law of thermodynamics.

Its hiw we git Trump and Magufuli.

Its the indomitable arrow of time.
 
Ilo demu mimi sijui watu wanalipendeaga nini hasa ila nahisi wafi.raji ndo wanaomkubali kisa ushuzi....mana nalikumbuka wakati huo likisoma majengo sec lilikua jeusi haswaa kama yule baraka da prince ila naona siku izi eti rangi chocolate....
Enzi izo wanaliita Miss Bantu wa HGE...
Sema truth be told....ana sura mbaya uyoo sema amebarikiwa makalio otherwise hamna kitu...
 
Asiogope, mbona wazee wenzie wakina Le Mbebez wapo huko Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…