Mnyuke junior
Member
- Jun 1, 2021
- 19
- 15
Wakala wa Jadon Sancho amekubaliana na uongozi wa Manchester United juu ya uhamisho wa mchezaji huyo kwenye dirisha la usajili majira haya ya kiangazi Sancho amekubali kujiunga na mashetani wekundu mpaka juni 2026, kazi iliyobaki ni Manchester united kukubaliana na borussia Drtmund ada ya uhamisho wa mchezaji huyo,taarifa kutoka kwenye camp ya mashetani wekundu ni kuwa wamewapa borussia ada ya €70m lakini dortmund wao wanataka kiasi cha €90m