Sancho na Manchester United

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Wakala wa Jadon Sancho amekubaliana na uongozi wa Manchester United juu ya uhamisho wa mchezaji huyo kwenye dirisha la usajili majira haya ya kiangazi Sancho amekubali kujiunga na mashetani wekundu mpaka juni 2026, kazi iliyobaki ni Manchester united kukubaliana na borussia Drtmund ada ya uhamisho wa mchezaji huyo,taarifa kutoka kwenye camp ya mashetani wekundu ni kuwa wamewapa borussia ada ya €70m lakini dortmund wao wanataka kiasi cha €90m

 
Shida ni BVB na United..terms za mchezaji hata dirisha lililopita haikuwa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…