Sanchoka atangaza biashara ya mbwa kwa picha matata sana baharini

Tulipofika binadamu sasa tumpe Mungu break jamani..

Hii ni kwamba hao mbwa wanawa......
 
Basi endelea kuchamba wima sheikh wangu tuwaache wenye pesa waendelee kununua qumer za kina Sanch,sisi tule wakina MwaJ
Sawa kiongoz ... Ila zote ni sawa tu ... Mi nikiwa mkubwa nikipata hela sitatumia kulia papuchi

a e i o u
 
Nimeshasikia hizo habari kutoka sehemu tofauti kama 3 hivi na moja ni mtu wa karibu huu uzungu haufai nusu amle house girl na mtoto mdogo wa miaka 6

Shida nyingine ya mbwa wa aina hiyo ni mafuriko ya mate. Wanamwaga mate kila wakati 24/7. Ni maumbile yako kutokana na midomo yao. Kama una kapeti harufuuu
 
Kuna watu hufikiria walijiumba hapa duniani. Hata vifo vya wengine hufikiria labda wamekosea kufa.

Mungu anawachora tu wanadamu wake.
Hasira zake zinawaka mara zinashuka.
Anatupa muda ili tushtuke ili kumrejea lakini ndiyo kwanza tunazidi kumdhihaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umefika mbali sana na wala haikuwa na ulazima... Kwani mkuu kifo wameumbiwa watenda dhambi tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni mimi peke yangu tu? Ni kuwa Wanawake wanaokaa kaa uchi uchi huwa sina mzuka nao.

Napenda kilichofunikwa , raha ufunue mwenyewe.
Sio wewe TU
Mi nikiona MWANAUME kapiga picha kavua shati napoteza hamu ya kumtizama.
Mtu avae,nifike ndani nifungue vifungo mwenyewe.
Hawa wa kutunisha misuli ili uone vifua sijui tumbo.
Woooooih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…