C changman JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 229 Reaction score 90 Sep 24, 2014 #1 Eti sandarusi ni nini na inatumika wapi?
I IDyangu Member Joined Apr 24, 2014 Posts 99 Reaction score 22 Sep 24, 2014 #2 Sandarusi ni mfuko mfano wa gunia. Hutumika kubebea nafaka. Wengine huita salfeti au kiroba.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Sep 29, 2014 #3 IDyangu said: Sandarusi ni mfuko mfano wa gunia. Hutumika kubebea nafaka. Wengine huita salfeti au kiroba. Click to expand... wakati inaingia mifuko hiyo ilikua inawekea mbolea ya salfeti, wapare walikua wanachapia sana wakiita safleti wakidhani ndio jina la hiyo mifuko
IDyangu said: Sandarusi ni mfuko mfano wa gunia. Hutumika kubebea nafaka. Wengine huita salfeti au kiroba. Click to expand... wakati inaingia mifuko hiyo ilikua inawekea mbolea ya salfeti, wapare walikua wanachapia sana wakiita safleti wakidhani ndio jina la hiyo mifuko
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 3,676 Reaction score 2,621 Sep 29, 2014 #4 Hili neno sijalisikia muda mrefu sana - nakumbuka kama sikukosea sandarusi ili kuwa ni kitu kama plastic ngumu inayoweza kuvunjika -mfano baadhi ya sahani zilikuwa simetengenezwa kwa sandarusi
Hili neno sijalisikia muda mrefu sana - nakumbuka kama sikukosea sandarusi ili kuwa ni kitu kama plastic ngumu inayoweza kuvunjika -mfano baadhi ya sahani zilikuwa simetengenezwa kwa sandarusi