Sandra: Usagaji na Ushoga wazuia mastaa wengi Bongo kuolewa na kuoa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii Mkongwe wa Bongo Movies anayejulikana kama Sandra Amewaasa wasanii wenzake kuachana na mambo ya Usagaji na Ushoga kwani vitendo ambavyo vinawazuia kuingia katika ndoa na pia kupata watoto...Amesema Swala hilo limekuwa sugu kwa Wanawake Mastaa Kupenda kusagana wenyewe kwa wenyewe kiasi wamenogewa pia wavulana na wanachukuana wenyewe kwa wenyewe so hapo kuoa ni ndoto....
 
Yeye ameolewa??na bongo movie ni sample tu ya kinachoendelea mtaani katika jamii yetu,usagaji,ushoga na umalaya pia
 
Huko kunanuka. Kuna jamaa anajisifu kuchakaza hiyo club bila noma. Alijitapa kwa kuiambia hadhira kuwa kila mtu afikirie/apange top 30 ya waigizaji bomba, kila list itakayo tajwa yeye kesha kula. Anamaanisha kagongo zaidi ya 50.
 
tutajuaje kama jamaa huyo anasema ukweli what if ndio wale wapenda sifa
 
Hii ngoma imevuma sana,na haya mawe ya gizani ngoja tutaona majibu yake
 
Yeye ameolewa??na bongo movie ni sample tu ya kinachoendelea mtaani katika jamii yetu,usagaji,ushoga na umalaya pia

Muda mrefu sana alishaolewa miaka sasa labda awe katalikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…