Freddie998
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 675
- 370
Niliskia Narok ilikua piaNlipita narok kitu 6pm , kulikuwa na sandstorm kali sana
Acha mzaha. Usidanganyike jombaa, watabiri wa hali ya anga huku kwetu Afrika hawajajiboresha hata kidogo. Bado wanatumia sayansi ya kiafrika, ya mababu zetu karne ya 19. Wapo busy kwa sasa wakifatilia mienendo ya ndege, chura, mchwa na burukenge.Our African meteorologists are useless. They couldn't even predict such a phenomenon