Sanduku la maoni kwenye ofisi za Umma ni miyeyusho

Sanduku la maoni kwenye ofisi za Umma ni miyeyusho

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Katika pita pita zangu kwenye ofisi za umma nimejifunza Haya!
  1. Ukipeleka maoni yako au kero yako kwa unaeamini ni boss (In charge) wa ofisi ndiyo kwanza unaiongezea ugumu huduma unayotafta
  2. Ukiandika maoni yako na kuyaposti kwenye kisanduku cha maoni (suggestion box), Unaemlalamikia ndiye mwenye funguo wa hicho kibox
  3. Ukilalamika kwa boss kwamba mfanyakazi (A) kakuomba rushwa! Wataonesha kukusikiliza kwa makini kama wameguswa, lakini ukitega mgongo wanang'ong'a nakuambizana "yule mteja bwege kweli yaani anataka mambo kirahisi rahisi" Achana nae!
Noma sana!

Screenshot_20211020-075255.png
 
Back
Top Bottom