D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Jul 25, 2023 #1 Inahitajika kifaa cha kutunza pesa na nyaraka zikiwa sehemu salama (Safe). Naomba kufahamu: 1. Kinachofaa (kilicho bora) kina sifa zipi? 2. Bei yako ikoje? 3. Kinapatikana wapi? Ikiwezekana naomba mawasiliano.
Inahitajika kifaa cha kutunza pesa na nyaraka zikiwa sehemu salama (Safe). Naomba kufahamu: 1. Kinachofaa (kilicho bora) kina sifa zipi? 2. Bei yako ikoje? 3. Kinapatikana wapi? Ikiwezekana naomba mawasiliano.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 25, 2023 #2 Uzito wake ndo unasababisha bei kuwa kubwa. Nenda Mlimani City utayakuta yamewekwa kwenye njia za watembea kwa miguu, karibu na Book Store fulani. Ukifika pale ulizia
Uzito wake ndo unasababisha bei kuwa kubwa. Nenda Mlimani City utayakuta yamewekwa kwenye njia za watembea kwa miguu, karibu na Book Store fulani. Ukifika pale ulizia