Sanga kukutana na wachezaji Wa yanga

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Viongozi wa Yanga chini ya Kaimu Mwenyekiti Clement Sanga leo (July 22, 2018) unakutana na wachezaji (makao makuu ya Yanga) kwa ajili ya mazungumzo juu ya madai ya baadhi ya wachezaji kabla ya mechi ya marudiano dhidi ya Gor Mahia.
:
Wachezaji baada ya kurejea toka Kenya waligomea mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi hiyo ya kombe la shirikisho hatua ya makundi inayotarajiwa kuchezwa July 29 uwanja wa Taifa.
:
Zimebaki siku 6 kuelekea mechi hiyo lakini Yanga bado haijaanza maandalizi hadi sasa. Wachezaji wanataka kulipwa madai yao kwa sababu kabla ya kucheza dhidi ya Gor Mahia waliahidiwa watalipwa fedha wanazodai baada ya mechi hiyo.[HASHTAG]#halaywsmm[/HASHTAG]
@yangawhatsapp_makaomakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…