anayeponya ni Yesu ,na Yesu yupo karibu yako tena ukitubu dhambi ukaziacha na kumkiri kuwa ni Bwana ,anaingia ndani yako na mwili wako unakuwa ni nyumba /kiti chake anakaa ndani yao wote waliompokea.
Yesu hakai kwenye mafuta ya upako wala maji ya upako wala udongo wa upako na vyovyote vinavyoitwa vya upako...na hivyo ni vitu tu kama hirizi ,ila YESU anasikia ukimuomba OMBA SALI ..anakusikia na anakujibu ma anakuona na yupo karibu yako.
Huko mlimani anayekaa hukolimani ni ROGI ya mapepo,majini,mizimu,na shetani wala siyo Yesu.
watu walioumbwa na Mungu wana anagamia kwa sababu ya UJINGA wao kukosa maarifa ya neno la Mungu.
ni sawa na kikombe cha babu wa loliondo,ni na manabii wa uongo wanaowapa mafuta ya upako..
inasikitisha ...hao wanaoenda kumtafufa Yesu huko mlimani...ni wa kuwahurumia...
nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo wakiwadanganya kuwa Yesu yuko huku na kule ..ila msiende ,shika sana imani yako na linda sana moyo wako ulichonacho..
UJINGA MZIGO.