Sangoma.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,991
Jamaa kaenda kwa mganga wa kienyeji, alipofika tu mganga akamwambia, "Wewe una matatizo na mkeo." Jamaa akajibu, "Yaa ni kweli mtaalamu umejuaje?" Mganga akajibu, "Mimi nimejua tangu huko ulipotoka. Sasa ili kuokoa ndoa yako isivunjike, kesho njoo Tsh milioni 2 mkononi, njoo na majogoo wawili wekundu, unga kg 5, mafuta ya kula dumu 1, vitunguu, nyanya, ndimu, pilipili, chumvi, karoti na hoho. Lakini pia usisahau simenti mifuko 3, bati 2 na misumari...kuna kakibanda kangu nataka kukamalizia hapo nje tehe tehe tehe!"
 
asisahau pia kuleta bata shoga, sisimizi hanisi na kungulu mwenye marienge........!! atahudumiwa kwa haraka zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…