Hospital hiyo imefungwa ghafla huku staff wakiwa wanadai fedha za malimbikizo ya mishahara ya miezi 12 nyuma ambayo tuliahidiwa tungeaza kulipwa taratibu ndani ya mwaka Jana lakini haikufanyika.
Pamoja na kwamba tulipunguziwa mishahara kwa asilimia 40 tukipewa ahadi kwamba mambo yatakuwa sawa na tutaanza kulipwa kila mwezi.
Kampuni ikiwa mikononi mwa Mr. Ezekiel Sai ambaye alibaki kama Mkurugenzi mtendaji baada ya Mutty kuondoka Tanzania.
Ilipofika mwaka huu 2024 madeni yalianza kuongezeka upya, tukaongeza miezi mingine 4 bila kulipwa, Hali ya kwamba tuna watoto, tumepanga, na ndio ajira tulikuwa tunaitegemea.
Suala hili limeshafika kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni lakini inaonekana kuwa kuna mianya ya rushwa imefanyika na suala hilo linataka kuzima.
Nathubutu kusema sio kwamba kampuni haikuwa na fedha la, kampuni ilipata fedha za kutosha ila ziliishia mikononi mwa viongozi, wao wakifurahia maisha na sisi staff tukizidi kutaabika. Very sad, utawala ulikuwa wa kibepari sana.
JamiiForums naomba mtupazie sauti ili suala letu lifike mamlaka za juu ili tupate stahiki zetu tunazodai.
==============
Your browser is not able to display this video.
Wafanyakazi wa Hospitali ya SANITAS iliyo ndani ya jengo la Baraka Plaza Mikocheni wameondolewa ndani ya jengo hilo na askari wa kampuni ya ulinzi ambalo kwa sasa limezungushiwa uzio na kutoruhusu mtu yeyote kuingia ndani, kama anavyoripoti James Tupatupa ambaye amezungumza na baadhi yao
Hospital hiyo imefungwa ghafla huku staff wakiwa wanadai fedha za malimbikizo ya mishahara ya miezi 12 nyuma ambayo tuliahidiwa tungeaza kulipwa taratibu ndani ya mwaka Jana lakini haikufanyika.
Pamoja na kwamba tulipunguziwa mishahara kwa asilimia 40 tukipewa ahadi kwamba mambo yatakuwa sawa na tutaanza kulipwa kila mwezi.
Kampuni ikiwa mikononi mwa Mr. Ezekiel Sai ambaye alibaki kama Mkurugenzi mtendaji baada ya Mutty kuondoka Tanzania.
Ilipofika mwaka huu 2024 madeni yalianza kuongezeka upya, tukaongeza miezi mingine 4 bila kulipwa, Hali ya kwamba tuna watoto, tumepanga, na ndio ajira tulikuwa tunaitegemea.
Suala hili limeshafika kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni lakini inaonekana kuwa kuna mianya ya rushwa imefanyika na suala hilo linataka kuzima.
Nathubutu kusema sio kwamba kampuni haikuwa na fedha la, kampuni ilipata fedha za kutosha ila ziliishia mikononi mwa viongozi, wao wakifurahia maisha na sisi staff tukizidi kutaabika. Very sad, utawala ulikuwa wa kibepari sana.
JamiiForums naomba mtupazie sauti ili suala letu lifike mamlaka za juu ili tupate stahiki zetu tunazodai.
Hiyo hospitali hujasema inapatikana wapi maana naona inarandana na hospitali moja inayoitwa SAMARITAN HEALTH CENTRE ILIYOPO MTAA WA MWATULOLE MJINI GEITA. Kama ni hiyo hata ikifungwa ni sawa tu maana ni hospitali yenye wizi mkubwa haswa ukipeleka mgonjwa pale , malaria tu utatumia laki 2, kwa haraka haraka , kingine kama ni hiyo hospitali wahudumu wake ni watoto wadogo sana na ndo hao hao ni madaktari ,umri wao miaka kama 17,19, kwa 23 mpaka 25 na huduma zao ni mbaya kuliko hazifai hata kidogo ,sijui serikali inatoaje kibali kwa hospitali mbovu kama ile.