Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE MHE. SANTIEL KIRUMBA AMEIWEZESHA OLD SHINYANGA VIFAA VYA TEHAMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba aameiwezesha vifaa vya TEHAMA Shule ya Sekondari Old Shinyanga; Kompyuta Tano na Printer 1 ambavyo vitawasaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo darasani.
"Kompyuta hizi zitawasaidia kujifunza kwa vitendo ili kuelewa vizuri matumizi ya Tehama. Shule hii imekuwa ikiafanya vizuri kimkoa." - Mhe. Santiel Eric Kirumba
"Tunashukuru sana Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Madarasa ya kisasa ambayo tumepata katika Shule hii, imefanya kupunguza msongamano wa watoto na pia kutoa michango kwa wananchi asante mama yetu kipenzi" - Mhe. Santiel Eric Kirumba
Attachments
-
WhatsApp Image 2023-03-29 at 13.28.52.jpeg47.8 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2023-03-29 at 13.28.51.jpeg63 KB · Views: 9 -
WhatsApp Image 2023-03-29 at 13.47.42.jpeg46.8 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2023-03-29 at 13.47.44(2).jpeg49.3 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2023-03-29 at 13.47.43(1).jpeg59.9 KB · Views: 4