santos v barcelona

mucha fuerza buaje sijui ndio nini?
 
kama kawaida yao barca na gonga..
 
messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. one nil to catalans
 
kam kawaida yake messi kishauwa watu..
 
Nataka nione majibu ya Neymar wanayemsifia sana. Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii big up
 
neymar kapotea sijui yupo wapi..
 
kona leo sijui itakuwa huko kwa pele
 
Hawa santos wanafungwa nyingi. Nimelipenda goli la Xhavi. 2 nil within 24 min
 
naona santos wanafanya sub elano anaingia katoka danilo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…