Hamna kitu sasa hivi kinaumiza watu kama timu yetu ya taifa na pia uchezaji wao na uwajibikaji.tunapaswa kuzidi kuwapa sapoti kubwa kwani kutoa sapoti kwenye klabu kama simba na yanga ni kubwa basi, na sisi tuanze kunufaika kutoa sapoti kwa timu ya mpira kwani haileti maana yani taifa letu tunashindwa hata kujiwakilisha kwenye mashindano bora ya soka na kuishia kusapoti timu nyingine.