eac monetary union protocol hadi sasa haijasainiwa. Kenya yailalamikia tanzania....gharama za mpaka ambazo tanzania inazichaji nchi jirani kuingiza gari na kuliendesha nchini zagusiwa..ni dola 200. Kenya yapinga ushuru huo..tahadhari yatolewa...signatories na heads of delegations of partner states ni hawa hapa chini:mabishano makali yamezuka katika mjadala unaoendelea katika makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki huko arusha katiya kenya na rwanda. Hoja ikiwa ni wao wanataka kuwe na sarafu moja ya jumuiya, lakini waendelee kubaki na sarafu zao kama kawaida huku rwanda ikisisitiza usd iwe ndio hela ya jumuiya na kila mmoja abaki na sarafu yake. Majadiliano yatakayodumu kwa siku sita mfululizo yanalenga kuikomboa afrika mashariki kiuchumi. Tofauti ya mikopo toka imf kwa nchi mojamoja jinsi ya kuulipa mkopo huo kwa pamoja, ni moja kati ya masuala yaliyojadiliwa.sudan ya kusini ambaye mara zote yeye huwa mgeni mwalikwa na "mtazamaji" tu (observer) safari hii kaambiwa asubiri kwanza hadi wao wakubaliane mambo ya msingi. Kenya imetunisha misuli baada ya tanzania kuitunishia misuli kuhusu suala la ardhi. Hivi punde nita-attach nakala ya ripoti yote na mchakato mzima jinsi ulivyokuwa.
eac monetary union protocol hadi sasa haijasainiwa. Kenya yailalamikia tanzania....gharama za mpaka ambazo tanzania inazichaji nchi jirani kuingiza gari na kuliendesha nchini zagusiwa..ni dola 200. Kenya yapinga ushuru huo..tahadhari yatolewa...signatories na heads of delegations of partner states ni hawa hapa chini:
Republic of Burundi: Audance Niyonzima
Republic of Kenya:Julius Mutua (Ministry of Finance)
United.Republic of Tanzania: Amantius Msole(Ministry of EAC Cooperation)
Republic of Rwanda😀r Thomas Kigabo (national bank of rwanda)
Republic of Uganda: Adam Mugume (Ministry of Finance, Planning & Economic Development)
naendelea kuwajuza yanayojiri...ila attachment nyingine nitaziacha kwa mfano hii ya" Protocol on the establishment of the EAC Monetary Union" hii ni ndefu sana ina page 53 na articles ziko 76. Naomba ushauri wenu kama ni-attach zote au nichague zile muhimu tu. Hii ni kutokana na ahadi yangu niliyoitoa. Kuna za kusainiwa leo kabla ya ripoti kuu ambayo hata hiyo sijui kama itatoka kwani imegubikwa na utata.....
Asante mkuu, nitafanya hivyo..ila had sasa mkutano wa pamoja haujaanza, kila nchi ilikuwa inajadili kivyake, na sasa ni lunch time, waganda wasusia chakula...usiri wa vikao watawala zaidi ila hakuna kitu kitakachojificha,.......kuna pages zaidi ya 6000 ninazo hapa zote naziona ni muhimu na bado naendelea kukusanya kila document hadi mwisho.zote iko poa zaid but if u can summarize nafkir itakuwa zaid ya poa
MKUU md25, na ndio maana Tanzania imekataa katika suala la ardhi yake kuingizwa kwenye Jumuiya. leo hakuna kikao chochote cha halaiki kilichofanyika hapa. kila nchi imekaa kivyakeNaonavyo mimi, sarafu 1 kwa EAC ni mapema mno... Tuna mengi ya kurekebisha kabla hatujafika huko. Pia, bado hizi nchi wanachama hatuaminiani, tunaishi kwa kuviziana na kwa mashaka mno, sarafu 1 inaitaji uaminifu sana, sasa kwa ujanja ujanja wa wakenya, tamaa ya m7 na kagame, hatuwezi tengeneza strong monetary union. Hili swala tungesubili kwanza. Afteral, mbona tunakuwa na haraka mno??
Politicians think that a common currency is achievable by looking the case of the USA.
In order to attain a common currency, each country should agree to forego it's monetary sovereignty and then build upon a framework to regulate inflation and bilateral trade between member states and third countries.
There are so many issues that will make monetary integration impossible, we have inflation, sovereign debts, unbalanced international trade, black markets etc.
wakubaliana kwa shingo upande, wasiwasi bado upo wa wotekwa kuanzisha sarafu moja haitokubalika mana kiukweli kila nchi inajivutia kwake tuuuu
kazi ya kusaini imeshaanza, Annex V document iliyosheheni kila kitu, Mpiga picha wa EAC anapiga picha. baada ya tukio hili itafuata Final Report...naingoja hii final report sidhani kama watanibania....lazima niipate iliyosainiwa na nikiikosa nita-attach hata ile ambayo haijasainiwa...angalau watu wajue nini kilijadiliwa na nini kimesainiwa ili wadau tuanze kuichambua humu. The Big Five peke yao ndani ya Nyumba....usiniulize nafanya kazi gani hadi nayajua mambo haya, ila mimi ni mwana JF wa kawaida tu kwani kuna mtu kani-PM eti mimi ni nani na ninafanya kazi gani...sidhani kupeana taarifa za kweli na zenye uhakika inahitaji kila mwana JF ajulikane anafanya kazi gani....hii imenikera kidogo lakini siachi kufuatilia kwani ni haki yangu.Mabishano makali yamezuka katika mjadala unaoendelea Katika Makao Makuu ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki Huko Arusha katiya Kenya na Rwanda. Hoja ikiwa ni wao wanataka kuwe na sarafu moja ya jumuiya, lakini waendelee kubaki na sarafu zao kama kawaida huku Rwanda ikisisitiza USD iwe ndio hela ya jumuiya na kila mmoja abaki na sarafu yake. majadiliano yatakayodumu kwa siku sita mfululizo yanalenga kuikomboa Afrika Mashariki kiuchumi. Tofauti ya mikopo toka IMF kwa nchi mojamoja jinsi ya kuulipa mkopo huo kwa pamoja, ni moja kati ya masuala yaliyojadiliwa.
Sudan ya Kusini ambaye mara zote yeye huwa mgeni mwalikwa na "Mtazamaji" tu (Observer) safari hii kaambiwa asubiri kwanza hadi wao wakubaliane mambo ya msingi. Kenya imetunisha misuli baada ya Tanzania kuitunishia misuli kuhusu suala la ardhi. hivi punde nita-attach nakala ya ripoti yote na mchakato mzima jinsi ulivyokuwa.
Wajinga ndio waliwao. Hata hawajifunzi nini kinatokea Europe au kwenye francophone countries.
Final Report hiyooooooooo...mi nina copy ambayo haijasainiwa ila nita-attach na documents nyingine zilizosainiwa...jali tarehe tu.Mabishano makali yamezuka katika mjadala unaoendelea Katika Makao Makuu ya Jumuiya Ya Afrika Mashariki Huko Arusha katiya Kenya na Rwanda. Hoja ikiwa ni wao wanataka kuwe na sarafu moja ya jumuiya, lakini waendelee kubaki na sarafu zao kama kawaida huku Rwanda ikisisitiza USD iwe ndio hela ya jumuiya na kila mmoja abaki na sarafu yake. majadiliano yatakayodumu kwa siku sita mfululizo yanalenga kuikomboa Afrika Mashariki kiuchumi. Tofauti ya mikopo toka IMF kwa nchi mojamoja jinsi ya kuulipa mkopo huo kwa pamoja, ni moja kati ya masuala yaliyojadiliwa.
Sudan ya Kusini ambaye mara zote yeye huwa mgeni mwalikwa na "Mtazamaji" tu (Observer) safari hii kaambiwa asubiri kwanza hadi wao wakubaliane mambo ya msingi. Kenya imetunisha misuli baada ya Tanzania kuitunishia misuli kuhusu suala la ardhi. hivi punde nita-attach nakala ya ripoti yote na mchakato mzima jinsi ulivyokuwa.
Mkuu WACHA1 TUKO PAMOJA ila nisamehe kwa kusema "huyu wetu kashangaa" ni kweli alikuwa anashangaa...mimi nilikuwa namwambia aniwekee copy inayosainiwa yeye anamshangaa Mr.Robert MaateFinal Report hiyooooooooo...mi nina copy ambayo haijasainiwa ila nita-attach na documents nyingine zilizosainiwa...jali tarehe tu.
Ukienda sokoni kule kigali, hata mboga za majani hununuliwa kwa USD
Ujerumani yaonya kupitia GIZ