Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika.

Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT.

Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311.

Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa ni 2313.

Hii ina maana gani kwa Royal Tour?
 
Inasikitisha sana..ukiona hivyo ujue hakuna la maana linalofanyika zaidi ya porojo tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Juzi nilienda embassy kufatilia issue flani hv nikaona vijana wengi sn wanaomba visa kutaka kukimbia ukali wa maisha katika nchi hii ya kusadikika
 
Shilingi imezidi kushuka sana tangu ijumaa
1655022855920.png

Nadhani kupungua kwa mauzo ya dhahabu nje ya nchi imechangia kupungua kwa thamani ya shilingi

Mauzo ya dhahabu ni 38% ya bidhaa zote zinazouzwa nje ya nchi hivyo ina mchango mkubwa zaidi katika kuleta pesa za kigeni kuliko hata utalii

Taarifa za BOT kuhusu pafomansi ya uchumi wa nchi mwezi Mei, mauzo ya dhahabu nje ya nchi yamepungua kwa 10%

Serikali isipoimarisha shilingi basi deni la nje litazidi kuwa kubwa.

Uchumi wa TZ una muundo mbaya sana.
 
Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika.

Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT.

Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311.

Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa ni 2313.

Hii ina maana gani kwa Royal Tour?
Sarafu yetu imeimalika dhidi ya Ksh siku hizi
 
USD ina purchase power kubwa kuliko TZS, karibu vitu vingi tunaagiza na kununua kwa USD na sio TZS. Pia bidhaa tunzoexport kwenda nje haziwezi kushindana na hiyo purchase power ya USD.
 
Back
Top Bottom