Hujaelewa mada. Soma uelewe ndio ujibu.Kwani Royal Tour ndo inafanya currency ya TZ kuappreciate or depreciate against dollar?
Sarafu yetu imeimalika dhidi ya Ksh siku hiziDollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika.
Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT.
Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311.
Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa ni 2313.
Hii ina maana gani kwa Royal Tour?
AppreciateKwani Royal Tour ndo inafanya currency ya TZ kuappreciate or depreciate against dollar?