Sarafu ya Tanzania yaimarika

Sarafu ya Tanzania yaimarika

Mtanzania2020

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
817
Reaction score
1,752
Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani.

Kutoka 2800 hadi 2300

Kwa hili twakushukuru Rais Samia

1USD= 2375 TSH
 
Attachments

  • Screenshot_20241211_145227_Google.jpg
    Screenshot_20241211_145227_Google.jpg
    53.4 KB · Views: 2
Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani.

Kutoka 2800 hadi 2300

Kwa hili twakushukuru Rais Samia

1USD= 2375 TSH
Uongo.

Ikiimarika itafika 1Dolar to 2000Tsh.

Mama anaupiga mwingi
 
Kazi nzuri
Watalaam wa uchumi waje watoe neno ili tujue vigezo alivyotumia Madelu na timu yake kupunguza gepu hilo
 
Ni bahati tu, hapo mwezi ujao inaporomoka kwa kasi hadi 3000
 
Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani.

Kutoka 2800 hadi 2300

Kwa hili twakushukuru Rais Samia

1USD= 2375 TSH
Hata black market mambo ni mazuri, imeahuka vizuri sana
 
Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani.

Kutoka 2800 hadi 2300

Kwa hili twakushukuru Rais Samia

1USD= 2375 TSH
Tupange maandamano kupongeza na kububujikwa na machozi
 
Akichukua tu madaraka donard trump Dola itapanda Tena na kufika 4000.uchumi wa Tz ni goigoi
 
Mtushukuru sisi wa Ntwara yale matokeo ya kotosho zetu tumewaletea dola nyingi, sasa hivi hakuna uhaba wa dola kwenye stock.
Mtwara oyee!
 
Back
Top Bottom