Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Nakumbuka maneno ya mweshimiwa raisi samia kuhusu benk kuu kufatilia swala la sarafu za digitali. Bahati mbaya tamko la benki kuu iliishia kutoa vitisho na sababu wanazozijua wao. Lakini leo benk kuu imekuwa inaangaika kutafuta pesa za kigeni zinazoingia imekuwa ngumu.
SABABU NI ZIPI?
Hakuna pesa itakayopita benki kuu kwenye miamala itakayofanyika wala kujulikana ili ufanya pesa ya ndani kubakia humu humu. Leo mgeni toka nje akija kununua bidhaa mfano madini au mazao ili kukwepa usumbufu wa kufatiliwa miamala yake itamfanya kutumia sarafu za digitali kama njia ya malipo au kununua kutoa kwa mawakala wa nchi usika.
Mfano leo kuna maduka yaliyopo dubai unaweza kununua bidhaa kubwa mpaka mamilioni ila wamekubali malipo ya sarafu yana tambulika kabisa.
Swali la kujiuliza siku japan tunapo agiza magari used kampuni zikaweka mfumo huu wa malipo?