A
Yaan sku ya mzunguko wa biashara n kazi unatembe kutafuta buku buku kweliMia nyingi ni mbovu bora hata hamsini ingawa zote hazipo kwenye mzunguko kitaa
mia mbili tuwaulize wachina wa ma bonanza wanazipeleka wapi
mia tano au jero nazo zinapotea hata buku buku change yake ni tizi
Sijui tatizo ni nini?
Tanzania tuko nyuma sana wenzetu wakenya wako juu kwa matumizu ya card au kulipa kwa simu nilishangaa hadi mama mboga wanapokea pesa kwa lipa namba nilishangaa mnoNi muda sasa tuingie kwenye matumizi ya card badala ya cash
Nadhani hadi kwenye daladala na bodaboda pia.Tanzania tuko nyuma sana wenzetu wakenya wako juu kwa matumizu ya card au kulipa kwa simu nilishangaa hadi mama mboga wanapokea pesa kwa lipa namba nilishangaa mno