Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Jaribu kufikiria, je kama sarafu za Tsh 500,200,100,50 nazo zingeondolewa inamaanisha leo hii kitu ambacho unanunua kwa Tsh 50 utakinunua kwa Tsh elfu1.
Kitu ambacho unakinunua kwa Tsh elfu 1 utaenda kukinunua kwa elfu 10.
Sasa ni heri hizi pesa ndogo ndogo zirudishwe kwenye mzunguko italeta unafuu sana wa maisha.
Mfano umefanya manunuzi na ilibidi urudishiwe pesa yenye thamani chini ya Tsh 50 hiyo pesa hutorudishiwa maana hakuna pesa yenye thamani hiyo kwa sasa.
Mfano zamani vitu kama unga tulikuwa tunanunua Tsh 70, mkaa Tsh 100,soda Tsh 50, chipsi yai Tsh 150,nk
Ndio maana zamani mke akiachiwa elfu 1 ya matumizi inatosha na chenji inabaki lakini leo hii kwa mtu mwenye maisha ya kati inabidi awe na si chini ya elfu 20 ili mambo yake yaende vizuri.
Nahitimisha kwa kusema kupanda kwa gharama za maisha miongoni mwa visababishi ni hiyo kutoa pesa ndogo ndogo kwenye mzunguko.