Sarah Obama tells off churches

mbona una mjaji mwenzio kihivyo?
Kwa sababu ndivyo alivyo...! Kama wewe vile ulivyo...! Nyote ndivyo mlivyo...! Hamna tofauti na jinsi mlivyo...! Siku zote mko ivyo ivyo mlivyo...! Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo... mlivyo!
 
Hii sikuiona hata hivyo kwangu mimi siyo issue maana Huko kwa mwenyezi Mungu wataenda watu waswafi/watakatifu na wala siyo watetea dini.Nacho jua dini zote ni makusanyiko tu ya watu wanaoamini wanalo amini.Nadhani tuongee kwa hoja na siyo jazba na mimi huwa nina amini kuwa Mungu hatetewi na kiumbe yeyote Mungu.
 
Kwa sababu ndivyo alivyo...! Kama wewe vile ulivyo...! Nyote ndivyo mlivyo...! Hamna tofauti na jinsi mlivyo...! Siku zote mko ivyo ivyo mlivyo...! Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo... mlivyo!

yoyo nadhani usibishane sana kwa hili maana watu hawatatofautisha..!!.
 
Sasa Kahinda kama uliona si issue... maswali yote yalikuwa ni ya nini?

Kwa nini ulazimishe kuwa watu wana jazba...! Nakushangaa!

Naheshimu imani yako na mawazo yako... na ni kweli "...hawatatofautisha..!!."

Kila la kheri bro.
 
Maswali yangu yana weza kujibiwa na mtu anayeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…