Too late!Saashisha Mafue, Mbunge wa Hai (CCM)
View attachment 2948892
La Ole Sendeka ni script mbovu Sana.Wakuu,
Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.
Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu utakuwa maalumu kwa wabunge wa aina hii.
Mimi nimeweka video zangu, shiriki pia kuleta video na picha za aina hii.
View attachment 2948883
Bado Kuna watu wanakamatika kwa mbinu hizo za kitoto?Wakuu,