Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mojawapo ya kata za Jimbo la Kibamba,Kuanzia mtaa wa Kimara Mwisho, Stop Over, Michungwani, Kimara B, King'ongo, Saranga, Upendo n.k....check google map.....ni mojawapo ya Kata kubwa kwa Jimbo la Kibamba kando ya Kata ya Mbezi....kuacha maji barabara nazo.....Saranga ipo sehemu gani hapa ubungo?
Majimbo yake Mawili Kibamba na Ubungo kwa muda mrefu yalikuwa chini ya Chama flani hivi.....ingawa kwa sasa......Wilaya ya Ubungo ipo nyuma kwa kila kitu, maji, barabara nk vyote ni hovyo tu.
KimaraSaranga ipo sehemu gani hapa ubungo?
Temboni kushoto kama unaenda mbezi ukitokea UbungoSaranga ipo sehemu gani hapa ubungo?
Kuna Saranga kama Kata na Saranga kama Mtaa....kama mtaa (Serikali za Mitaa) ndio ipo Temboni kushoto kama unaenda Mbezi....Temboni kushoto kama unaenda mbezi ukitokea Ubungo