Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Mar 20, 2014 #1 Si vibaya kuendelea kukumbushana tofauti ya haya maneno, naona wengi bado wanachanganya hasa sisi watu wa mpira
Si vibaya kuendelea kukumbushana tofauti ya haya maneno, naona wengi bado wanachanganya hasa sisi watu wa mpira
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Mar 20, 2014 #2 nadhani sare ina magoli ilihali suluhu hakuna magoli!
M Mjerumani Chotara Senior Member Joined Jan 29, 2014 Posts 153 Reaction score 34 Mar 23, 2014 #3 Ukisema Sare na Suluhu yabidi utaje na magoli. ila kama hawajafungana yafaa tuite Suluhu tassa. Thanx
Ukisema Sare na Suluhu yabidi utaje na magoli. ila kama hawajafungana yafaa tuite Suluhu tassa. Thanx