Sare Sare Maua ya Tai Nyekundu!, Jee Wamependezea ?!.

Sare Sare Maua ya Tai Nyekundu!, Jee Wamependezea ?!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi
Nimependa tuu watu viongozi wakuu 3, wamekaa next to each other, na wote wamevaa tai Nyekundu, japo nimependa walivyo pendezea na sare sare zao za tai Nyekundu, lakini essence ya bandiko hili sio tuu kuonyeshea kupendezea bali kuulizia hii inatokeaje tokeaje tokeaje?.

Is is just a coincidence imetokea tuu wote wamevaa tai Nyekundu na kisha ikatokea tuu wote wakawa seated next to each other?.

Sare Sare Maua..png

Jee wametokelezea na wamependezea?.

Do you believe imetokea tuu by just a coincidence or kuna some invisible unknown power inayo pre meditate watu wavae tai za rangi gani kwenye tukio gani?.

Pasco
 
Kikwete naona kifua kimetuna kwa sbb ya Bullet proof;. Inamaana Shein yy hakuvaa ama? Au ni ka dogo?
 
Wanabodi
Nimependa tuu watu viongozi wakuu 3, wamekaa next to each other, na wote wamevaa tai Nyekundu, japo nimependa walivyo pendezea na sare sare zao za tai Nyekundu, lakini essence ya bandiko hili sio tuu kuonyeshea kupendezea bali kuulizia hii inatokeaje tokeaje tokeaje?.

Is is just a coincidence imetokea tuu wote wamevaa tai Nyekundu na kisha ikatokea tuu wote wakawa seated next to each other?.

View attachment 209522

Jee wametokelezea na wamependezea?.

Do you believe imetokea tuu by just a coincidence or kuna some invisible unknown power inayo pre meditate watu wavae tai za rangi gani kwenye tukio gani?.

Pasco
Bandiko hili lilipandishwa sio kwa sababu ya JK or Dr. Shein,, lilipandishwa kwa sababu ya Lowassa!. Enzi hizo Edward Lowassa ndio alikuwa habari ya mujini!.
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Enzi Za Jiwe Ikaja Hoja Bungeni Eti Rais Akiwepo Wabunge Hawaruhusiwi Kuvaa Tai Nyekundu Eti.....
 
Nijuavyo mimi huwa ni kwasababu za kidiplomasia... hapo hata angealikwa raisi kutoka Amerika angekuja na Tai nyekundu
 
Back
Top Bottom