Sare ya 1-1 na Al Ahly yaiweka pabaya Yanga

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180

MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga, leo wamenusurika kufungwa nyumbani katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya National Al Ahly baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa.

Matokeo hayo, hata hivyo, yanaifanya Yanga iwe na wakati mgumu zaidi katika mechi ya marudiano itakayochezwa jijini Cairo baadaye ...

Kwa habari zaidi, soma hapa => Sare ya 1-1 na Al Ahly yaiweka pabaya Yanga | Fikra Pevu
 
Wamerudisha kivip,wale waarabu wamefunga goli mbili,moja wametumbukiza kwenye goli lao wenyewe,jingine wametumbukiza kwa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…