Kwani hizo za kawaida wanagawiwa na serikali? Pendekeza waende uchi ili wasio na hela ya kununua wasome pia
sare zinasitiri wewe!imagine wewe uwe choka mbaya ,halafu skuli watu wanaenda watakavyo,wenzako wanabadli nguo kila siku wewe kuanzia standard one mpaka la saba una nguo saba tu!Ndio hoja yangu hasa, yaani Mtoto aende Shule vyovyote vile, Cha muhimu aweze kusoma! Au kama ni lazima kuwe na Sare basi Serikali izilipie na iwagawie Watoto wa Masikini Bure lkn Mtoto asifukuzwe Shule kwa kukosa Sare za Shule!
sare zinasitiri wewe!imagine wewe uwe choka mbaya ,halafu skuli watu wanaenda watakavyo,wenzako wanabadli nguo kila siku wewe kuanzia standard one mpaka la saba una nguo saba tu!
bora sare mnashinadana nani yake chafu/chakavu /mpya!
Ndio hoja yangu hasa, yaani Mtoto aende Shule vyovyote vile, Cha muhimu aweze kusoma! Au kama ni lazima kuwe na Sare basi Serikali izilipie na iwagawie Watoto wa Masikini Bure lkn Mtoto asifukuzwe Shule kwa kukosa Sare za Shule!
Ndio hoja yangu hasa, yaani Mtoto aende Shule vyovyote vile, Cha muhimu aweze kusoma! Au kama ni lazima kuwe na Sare basi Serikali izilipie na iwagawie Watoto wa Masikini Bure lkn Mtoto asifukuzwe Shule kwa kukosa Sare za Shule!
hiyo serikali italipia mangapi naiache mangapi? ada imeondoa hamjarizika mnataka mpaka nguo? kama hao watoto hawana wazazi ni bora wakapelekwa vituo vya yatima ili wasaidiwe huko,
Tatizo wazazi wengi msimu wa mavuno mwezi wa tano mpaka wa nane hupata pesa kwa kuuza mazao na kuzichezea kwenye starehe na pombe. ni aibu kama mzazi kwa mwaka mzima huna elfu 10 ya uniform? basi hata elfu 5 nunua kitambaa mshonee mwenyewe kwa mkono? jamani mimi naichukia sana serikali na ccm kwa ujumla lakini naona sasa tunaibebesha mizigo isiyokuwako.
Serikali tuibane iwalipe wazee sio nguo za watoto. mtoto kama anawazazi ina maana wana nguvu ,mwanamke miaka 40 hawezi kuzaa sasa kama mtoto yuko darasa la kwanza inamaana mama yake ni below 50.toka january mpaka december hana elfu 10? afuge hata kuku wawili basi awauze au afuge hata njiwa awauze.
Kweli wewe ni "Mjali tumbo" na nchi hii haujui vizuri na wala haujatembea, hivi unajua kuna watu nchini mwetu tena wengi sana tu hawana fedha ya kula?
Hivi unajua kuna watoto tena wengi sana nchini mwetu wa Miaka 15 na chini yake wanalea wadogo zao watatu mpaka wanne yaani wameshakuwa Mama Nyumbani kwa maana Wazazi wamefariki? Sasa huyu Binti wa Miaka 14 kukosa fedha ya kula achilia mbali ya Sare ni kosa lake? Na kama unasema hivyo mwisho wa Siku unamkomoa nani?
Kweli wewe ni "Mjali Tumbo lako! hivi una habari kwamba kuna Wakulima wengi nchini mwetu hawalipwi fedha zao na hiyo hiyo Serikali kwa Mwaka mzima? Mimi kuna Vijiji Tanzania nimefika sikuweza kuchenji Shilingi 500, wewe unaongelea elfu kumi ya Sare? Kweli wewe ni Mjali tumbo
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini Serikali inalazimisha Wanafunzi wavae Sare za Shule ambazo zinauzwa na huku ikijua wazi kwamba Wananchi wake wengi hawana hata pesa ya kununua Chakula, sembuse ya kununua nguo za Shule?
Kwa nini Serikali iseme Mtoto aende Shule na vazi lolote hata kama ni kanga lkn Bora apate Elimu ambao baadae itamkomboa?
Watotto wengi huko vijijini wanakosa Elimu kwa kuwa hawana Sare za shule, hawaruhusiwi kwenda Shule bila Viatu hivyo wanabaki Nyumbani, sasa Serikali haioni kama inakwamisha Maendeleo yao?
Haujanielewa ninachomaanisha ni kwamba, kuna Watoto wengi sana nchini mwetu hasa Vijijini wanashindwa kwenda Shule kwa maana wazazi wao hawana uwezo wa kununua Sare, sasa kwa nini Mtoto akose Elimu kwa ajili tu hana Sare? Kama ni muhimu hivyo kwa nini Serikali isiwape bure Watoto masikini ambao ndio wengi huko vijijini?
Si kwamba wazazi ni mafukara kiasi cha kushindwa kununua sare mara moja kwa mwaka.Hata bei ya kuku mmoja tu inatosha kununua sare.Mbona wazazi haohao wanaoshindwa kununua sare wanashinda virabu vya pombe? Ni kutojali tu wala si umaskini.
Heshima kwako@Kijakazi II,
Naomba nikukumbushe kwa kukuuliza,kipi hasa ni muhimu katika maisha yetu , Nidhamu ama Elimu?
Basi bila shaka utajua kuwa bila nidhamu huwezi kufanikiwa katika jambo lolote hata elimu pia. Moja ya nguzo kuu ya nidhamu ni kutenda yale yakupasayo hata kama ni magumu kiasi gani.
Sasa,katika muktadha huo Sare za shule ni jambo moja ambalo huleta nidhamu ya ujumla na mfumo huu tumeurithi kutoka kwa Waingereza ambao ni moja ya nchi zene nidhamu ya hali ya juu katika nyanja nyingi. Na Ndio maana sio sare tu, utaangaliwa nywele,kucha usafi nakadhalika. Hii ni kuwajengea watoto nidhamu wakiwa wadogo. Ukifika vyuoni tayari unakuwa ni mtu mzima na kama utaona watu waliopitia katika shule zenye nidhamu ya hali ya juu kama Seminari N.k hata wakiwa Uraiani huwa wako disciplined sana na decent.
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini Serikali inalazimisha Wanafunzi wavae Sare za Shule ambazo zinauzwa na huku ikijua wazi kwamba Wananchi wake wengi hawana hata pesa ya kununua Chakula, sembuse ya kununua nguo za Shule?
Kwa nini Serikali iseme Mtoto aende Shule na vazi lolote hata kama ni kanga lkn Bora apate Elimu ambao baadae itamkomboa?
Watotto wengi huko vijijini wanakosa Elimu kwa kuwa hawana Sare za shule, hawaruhusiwi kwenda Shule bila Viatu hivyo wanabaki Nyumbani, sasa Serikali haioni kama inakwamisha Maendeleo yao?