Enzi hizo miaka ya late 80's na earl 90's
kulikuwa na aina za mavazi ambazo almost kima mtu alivaaππ
ntazitaja baadhi zingine mtanisaidia malejendari
1. chupi zza kiume ziliitwa VIP, Hii kila mtu aliva ukianika nje unaweza kuondoka na ya dingi
suruali za TOKYO maarufu kama mchelemchele hizi zilikuja na mikanda yake
Mashati ya Bahama
WANAWAKE
walivaa viatu vya skuna
Mikanda ya Vipepeo
Enzi hizo nywele waliweka kalikit
magauni ya CHILIMENππ
Wanafunzi walivaa sare za sox za pundamilia
Viatu vinaitwa LAKUPANDA kipo kama buti ila ni raba
ONGEZEA ZINGINE MDAU WA ENZI HIZO TUWAKUMBUSHE HAWA NJUKA SISI NI WAHENGA