Kimsingi naona mwaka huu wafanyakazi utumishi wa umma wanaotarajia kusheherekea siku yao maalum wamepigwa na kitu kizito kichwani maana hizo t-shirts hazina mvuto wowote na zimekuwa zikijirudia mwaka kwa mwaka na huenda ni matoleo ya miaka iliyopita yakabaki ndio wanarudishiwa licha ya michango yao ya kila mwezi.
Na kinachoshangaza zaidi, hivi rangi kwani ni hizo hizo tuu? Pia nina wasiwasi hata quality ikifuliwa mara moja L inakuwa XL na XL inakuwa XXL and so forth. Haya wafanyakazi hongereni!
Na kinachoshangaza zaidi, hivi rangi kwani ni hizo hizo tuu? Pia nina wasiwasi hata quality ikifuliwa mara moja L inakuwa XL na XL inakuwa XXL and so forth. Haya wafanyakazi hongereni!