macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
He is stupid
Suala la wanawake wa kiislamu kuvaa burka ni sehemu ya shuruti ya stara kwa mwanamke wa kiislam(hijab), na wanawake wa kiislamu waumini wa kweli hawajawahi kulalamika kuwa hiyo kwao ni adhabu,kero, mzigo au shida. Kujistiri maungo kwa mwanamke ni sehemu ya kuutukuza utu na heshima ya mwanamke n.k. Haya Sarkozhy hayajuwi, na anawasemea wanawake wa kiislamu wala hawajamtuma,nahisi nchi yake haipendi kuwaona wanawake wa kiislamu wakijistiri, anataka tujuwe kuwa Ufaransa haiheshimu uhuru wa kuuabudu wa raia zake na wageni.Why do u think so?
Suala la wanawake wa kiislamu kuvaa burka ni sehemu ya shuruti ya stara kwa mwanamke wa kiislam(hijab), na wanawake wa kiislamu waumini wa kweli hawajawahi kulalamika kuwa hiyo kwao ni adhabu,kero, mzigo au shida. Kujistiri maungo kwa mwanamke ni sehemu ya kuutukuza utu na heshima ya mwanamke n.k. Haya Sarkozhy hayajuwi, na anawasemea wanawake wa kiislamu wala hawajamtuma,nahisi nchi yake haipendi kuwaona wanawake wa kiislamu wakijistiri, anataka tujuwe kuwa Ufaransa haiheshimu uhuru wa kuuabudu wa raia zake na wageni.
Wamarekani walipowafukuza wataliban Afghanistan walikurupuka kuwaambia wanawake kuwa sasa wapo huru kuvaa watakavyo, jibu walilolipata kuwa, masuala ya kivazi ni sehemu ya utamaduni wao wa kiislamu unaowapa stara na heshima.
Kwa Sarkozy ambaye, anajuulikana historia yake ya kupenda mambo ya uchafu na uzinifu na wanawake waendao uchi, simshangai kukerwa na stara ya wanawake wa kiislamu, si ajabu anawaona heshima yao kubwa kwa stara yao kuliko hata ya mke kahaba aleyekuwa hawara yake zamani Carla Burni.
Hajuwi nachokibwatukia.
Unaposema jambo useme kwa uthibitisho...hizo ni speculations...ambzo hazina nafasi katika reasoning. Kama mtu jambo halitaki hachelewi kusema wala hangoji asemewe, nakupa challenge ww nitafutie mwanamke muumini wa kweli wa kiislamu, aliesema au kupiga kelele kuwa hijabu inamkera. Kwanza nikuweke sawa hijab si adhabu ni stara. Utamaduni wa kwenda, uchi haupo katika uislamu,utamaduni wa mwa'mke kupandishwa jukwaani na chupi, sidiria au kutembea mtupu kama alivyozaliwa haupo katika uislam, wala utamaduni wa mke, binti wa mtu kupita majiani akayaonyesha maungo yake kila mtu akamuona haupo katka uislamu. Uislamu umeanza kumtukuza mwanamke kwa kuyaheshimu maungo yake kuyafanya bora kwa kuwa si kila mtu anayaone isipokuwa wa halali yake tu. Hakuna na ni marufuku kwa mwanamke wa kiislamu kwenda uchi na kuonyesha maungo yake hadharan au kuvaa nguo zisizo na staha, na rejea tena, si utamaduni wa kiislamu. utamaduni huu wanaoushabikia kina Sarkozy ni wa kumdhalilisha mwanamke. Kuhusu Taliban mm sikutaja habari za shule, nilichosema kuwa wamarekani waliona kuwa Taliban iliwalazimisha wanawake kuvaa hijab, walipowataka sasa kutovaa hijab, jawabu waliloambulia ni kuwa hilo si vazi lililoshurutishwa na Taliban bali Mw'mungu kwa manufaa yao wanawake, na wamekuwa wakilivaa tokea enzi na enzi kabla ya hata hao taliban hawajaingia madarakani.Niambie ni wanawake wangapi wa Afghanistan walivua hijabu zao baada ya taliban kuondolewa? Habari za kunyoa ndevu si umeziona kupitia CNN na BBC! sina comment katka propaganda levya.Junius, naomba nitofautiana na wewe kidogo. Wanawake wa kiislamu wanaovaa kininja tena nguo nyeusi wanataabika sana ila hawasemi tu. Wanatii tu kwa sababu wametishiwa kwenye quran kuwa watachomwa moto wasipokuwa watii. Hebu fikiria hilo joto la middle East na nguo hizo nyeusi ni mateso matupu ndugu yangu. Kufukuzwa kwa Wataliban huko Afghanistan na Wamarekani kulileta neema kwa wanawake kule maana walianza hata kwenda shule kwasababu ilikuwa mwiko wao wakae nyumbani tu wawastarehe wanaume ulikuwa ni uonevu wa hali ya juu sana. Wanaume nao tuliwaona kwenye TV wakijazana saluni kunyoa ndevu zao.
Alafu kitu cha ajabu sasa, Madaktari na walimu wengi kule Afghanistan ni wanawake.Junius, naomba nitofautiana na wewe kidogo. Wanawake wa kiislamu wanaovaa kininja tena nguo nyeusi wanataabika sana ila hawasemi tu. Wanatii tu kwa sababu wametishiwa kwenye quran kuwa watachomwa moto wasipokuwa watii. Hebu fikiria hilo joto la middle East na nguo hizo nyeusi ni mateso matupu ndugu yangu. Kufukuzwa kwa Wataliban huko Afghanistan na Wamarekani kulileta neema kwa wanawake kule maana walianza hata kwenda shule kwasababu ilikuwa mwiko wao wakae nyumbani tu wawastarehe wanaume ulikuwa ni uonevu wa hali ya juu sana. Wanaume nao tuliwaona kwenye TV wakijazana saluni kunyoa ndevu zao.
..kwani Wafaransa wana utamaduni wa kuvaa burka?
..hili ni tatizo ambalo limepelekwa Ufaransa na wakimbizi toka nchi za Kiarabu.
..ilitokea aibu kubwa jamaa hawa wakazomea wimbo wa taifa wa Ufaransa walipocheza na Algeria.
..halafu tatizo lingine wanazaana sana, hawataki kusoma, hawataki kujifunza Kifaransa,hawataki kazi, na siku zote wanasingizia ubaguzi.
..Sarkozy aache ku-dance around the bush. akusanye tu wakimbizi hao, akawabwage walikotokea.
Hata hizo nchi watakazoruhusiwa kuvaa Burka haimaanishi kila kitu kitafanana na tamaduni za kwao walikotoka, kwa hiyo tukiruhudu hii wakakimbilia Uturuki. Uturuki nao wanaweza kuwaambia hawaruhusiwi kuongea kiarabu, wakitaka waende kwenye nchi inayoongea kiarabu. Wakienda huko nako wakatafuta kigezo kingine cha kuwabagua etc. Ila cha msingi Jokakuu ni kuelewa kuwa wanaovaa Burka sio wote wakimbizi, na kwa Ufaransa wakimbizi wala sio majority.ZeMarcopolo,
..hao wanaonyanyaswa kwa kuvaa burka wakimbilie zile nchi zinazoruhusu mavazi ya burka.
..nimekueleza kwamba burka haina asili Ufaransa. inaeleweka kabisa vazi hilo asili yake ni wapi.
..nadhani tatizo ni hao wakimbizi wanakaribishwa nchi za watu, wanakuwa comfortable, na kuanza kulazimisha mila na tamaduni zao kwa wenyeji wao.
Zermacopolo,
..nadhani mtu anayetaka kuvaa burka akienda kuishi Ufaransa,Holland, au nchi nyingine zinazofanana na hizo, anakuwa amepotea njia huyo.
..unapoamua kuondoka kwenu, kuhamia, na kuwa raia wa nchi za watu, unapaswa KU-ASSIMILATE. hawa wenzetu kitu hicho hawakielewi kabisa.
NB:
..matatizo hayo hayako wa wanaopenda kuvaa burka tu.
..wengine wanaonitibua zaidi ni gays. hawa wanajua kabisa jeshi,kanisa,..haliruhusu tabia zao. lakini unakuta wanajiunga humo, wanakaa kimya mpaka wamekubalika na kupewa madaraka, halafu ndiyo wanajilipua kwamba wao ni gays.