Sarri you have to start believing in young players

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Get rid of David Luiz; Kepa and Alonso from first team.

Davis Luiz si wa kuamini anacheza slow hana pace akikutana na mtu kama aguero ni zahma

Alonso same, Pia hilo kipa ni kimeo.

Kante acheze kati kwa mfumo wako huo huo kwa nini hutaki kumwamini wakati hujamjaribu?

Kama hutaki ushauri wangu basi jiandae kuondoka una game 5 tu toka ya jana. umenikera sana jana sijui kwa nini unamlea sijui jonihno wako mtu hawezi hana stamina yoyote yupo laini sana hii ni EPL mzee yaani umemngangania tu acheze kila game hivi wewe ni kocha gani usiye na plan B wakati game inaendelea???

Usituchanganye....tuache kama vipi bwana !!
 
Sarri apewe mkataba wa kudumu
Kila kocha duniani lazima ana option B; Davd liuz mzee wa kuchomesha tunamjua yule; tangu mpira haujaanza nilijua lazima tunapigwa si chini ya 3. Luiz ni kimeo kile hamna beki beki mule nawaambieni.
 
Umesahau Kumtag ili asome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu David Luiz wakati wa Conte alipokuwa anamuweka nje na kumwamini Andreas Christensen mlisema nyie kocha anazingua! Ss ukweli umedhihiri
Kila kocha duniani lazima ana option B; Davd liuz mzee wa kuchomesha tunamjua yule; tangu mpira haujaanza nilijua lazima tunapigwa si chini ya 3. Luiz ni kimeo kile hamna beki beki mule nawaambieni.
 
ninesoma sentensi mbili za ju tu kwenye aya ya kwanza nineon unaongea upuzi tu.
ivi shabiki kama huna hata "raisens c" ya ukocha wa tz af unatak kufundisha kocha wa wold class..
apo ndio ule msemo wa shabiki anajua mpila kuliko kocha na wachezaji unapodhihiria..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…