Hapa swala ni moja tu nalo ni upatanisho wa kisarufi. Unapozungumzia sarufi katika lugha, mathalani kiswahili. Ni zile kaida au kanuni zinazo muongoza mtumia lugha ili kueleweka katika jamii na watumiaji wa lugha wengne. Kwa mfn huwezi kusem "gari kimeanguka" kisa tu unaweza kutumia kimeanguka kwenye kiti, yaan "kiti kimevunjika au kuanguka". Badala yake utasema "gari limeanguka".