luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hakika nimeipenda hii makala iliyokuwa inarushwa na citizen tv hakika hiki mnachokifanya majirani zetu ndio ile tunaita tamaa inaponza. Hapo nchini Kenya wamekuwa na jitihada za kutaka kupanua bandari kwa kuongeza eneo la bandari ambao meli maalumu imekuwa ikivuta mchanga wa bahari na kuulundika ktk eneo zoezi hilo linaomekana lina madhara ya moja kwa moja kwa viumbe hai waishio baharini (aquatic organisms) sababu zoezi hilo linapelekea vumbi kifunika coral reef ambazo ni mazalia ya samaki na makazi vya viumbe vidogo viishio baharin lkn pia kwa upande mwingine linakwamisha upatikani wa samaki ktk eneo la uvuvi huko kwaleee sasa kituko cha aibu ni kwamba majirani wameamua kuignore EIA procedure ili kulinda zoezi hilo ambalo ni wazi limaonekqna lima madhara kwa viumbe hai na ustawi wa jamii ya wavuvi. Ss kitendo hiki ni wazi ya kuwa hata ule mkutano ulifanyika Mwqka jana BLUE Economy ni wazi ni kofi kwa mlevi.