Sarvings account ya azania

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Jamani mi naomba kuuliza ivi bank zote wanakata hela kila mwezi kwenye account ya mtu hata kama hajatoa helayoyote. Hii imeniumiza sana baada ya kukuta helazangu zimelabwa huku ukizingatia ni hela za biscuti nilizodunduliza. Kama kunabenki hazikati hela kila mwisho wa mwezi tafadhali niambieni nikafungue account huko.
 

Hapo kwa red huwezi pata benki yo yote TZ isiyofanya kitu hicho, unataka wakutunzie hela zako bure mkuu?
 
Umekatwa hela kiasi gani? idhani kama wanakata pesa kuubwa hadi ui-feel kiasi hicho, unless ni matatizo ya kimtandao. Kalalamike mwaya
 
karibu international commercial bank...benk pekee inayotoa interest of 3% kwa saving accounts monthly....we calculate it daily n deposit it monthly. itakufanya usiumie kwa makato ya mwezi ya sh..1000.
 
Hayo ya kweli mkuu kama kweli ina interest nitumie form nijaze kabisa

Sent from my BlackBerry 9900 limited edition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…