Sasa Africa itarudi kutegemea Misaada Kutoka nchi za Kiarabu na Uchina maana Hakunaga namna!

Sasa Africa itarudi kutegemea Misaada Kutoka nchi za Kiarabu na Uchina maana Hakunaga namna!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Walianza akina Christian Ronaldo kukimbilia Uarabuni na watakaofuatia ni Bara la Africa especially Ukanda wa Mashariki

Uzunguni kote Trump amekaba Msitu

Ahsanteni sana 🐼
 
Kama ni kwel sisi bado sio binadamu kamili , tupo kwenye stage za mabadiliko bado.
 
Ndio wakati sasa wa kujifunza, The multiplication process, mfano, TRC, inachokipata kirudi humohumo kuendeleza mradi, baada ya kutoa gharama zote, endapo kama inapata faida.
 
Misaada inaleta manyanyaso
Tatizo mapato yetu mengi hutumika katika mishahara minono, na hayaelekezwi kwenye miradi yenye kurejesha fedha,mfano tumevundika mabilioni kwenye madege, haya ni kuyauza tu kubaki na chache zenye tija mfano cargo plane, kujenga barabara za zege, built a road that will took 100 year with no repair, that mean, Do and complete, permanently. Mavitu kama madege huwa na expire date, ukinunua ukaiweka tu, elewa ipo siku utaambiwa hairuhusiwi kuruka angani (akili kisoda)
 
Back
Top Bottom