Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Kwa nini ulimhukumu hivyo ilhali unajua kwamba ww sio mwamuzi wa mtu kuwa mtakatifu?Baba mtakatifu91 alirushiana matusi na GENTA hadi nikasema huyu si mtakatifu.
Mimi nawahukumu hadi akina papa Leo na Francisco, hata Yesu.Kwa nini ulimhukumu hivyo ilhali unajua kwamba ww sio mwamuzi wa mtu kuwa mtakatifu?
Kumbuka Baba mtakatifu ni mtu kama walivyo watu wengine. Kurushiana matusi (Haujatuambia ni matusi gani) pengine maneno aliyojibizana na GENTA wala hayakuwa matusi. Ukizingatia kwamba binadamu yeyote akiudhika au kukasirika anaweza kubadilika na kutumia lugha/maneno ya ukali. Ref. Hata Yesu alitumia maneno makali e.g. Math. 15:26 Yesu alimjibu Mwanamke Mkananayo
"..si vyema kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa...." Kwa mtazamo wa jujuu kama wa kwako, unaweza kusema Yesu alimtukana huyo mama kuwa ni sawa na mbwa...
Kwani GENTA lisema au alikuwa na hoja gani juu ya kitu gani na Papa hadi wakarushiana maneno ambayo wewe unayaita matusi?
Naam; Hata bikira Maria kwa kinywa chake alisema "Kwa kuwa amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu. Hivyo tangu sasa watu wote wataniita mwenye heri. (taz. Luka 1:46 - 55)Hata akibakia mwenyeheri inatosha kutuombea. Bikra Maria alitangazwa kuwa mtakatifu katika karne ya 19 tu
Hadi leo 2026; Hakuna aliyejiita mtakatifu ila watu ndo humuita mtakatifu na hiyo ni baada ya mtu huyo kufariki/kifo chake.Mimi nawahukumu hadi akina papa Leo na Francisco, hata Yesu.
Ukishaitwa mtakatifu wewe uwe umeonyooka kama rula, vinginevyo unajiita tu mtakatifu.
Samahani mkuu; wewe ni wa Imani ipi?Mtakatifu Perpetua utuombee
Mtakatifu Andrea utuombee
Mtakatifu Felista utuombee
Mtakatifu Yakobo utuombee
Namna hiyo Nyerere mtakatifu wa kazi gani ?? Hili kanisa linacheza
Mimi naona ni kupoteza tu muda.Hadi leo 2026; Hakuna aliyejiita mtakatifu ila watu ndo humuita mtakatifu na hiyo ni baada ya mtu huyo kufariki/kifo chake.
Wale wanaojiita watakatifu wakiwa bado wangali hai, ni watakatifu watarajiwa - hata ww unaweza kujiita mtakatifu hakuna shida.
Hakuna cha kupoteza muda- muda upo siku zote na tutakufa na kuuacha ukiendelea.Mimi naona ni kupoteza tu muda.
Papa mbona ni mtakatifu mkuu.
Mtakatufu alivuta fegi pale alipokuwa na stress 😀Baba mtakatifu91 alirushiana matusi na GENTA hadi nikasema huyu si mtakatifu.
Papa anasemekana ni mtakatifu. Fuatilia.Hakuna cha kupoteza muda- muda upo siku zote na tutakufa na kuuacha ukiendelea.
Papa sio mtakatifu ila kazi yake anayoifanya/ofisi anayohudumu ndo Takatifu.
Nimetafuta na kufuatilia(Google n.k.) sijaona.Papa anasemekana ni mtakatifu. Fuatilia.
Mimi ni mkatoliki safi, ila vingn wanazinguaSamahani mkuu; wewe ni wa Imani ipi?
Kama ni wa Imani sawa na ya hao walioorodhesha mtakatifu Perpetua utuombee; basi ukijitahidi na wewe inawezekana siku za mbaleni kukaongezeka mtakatifu Monetary doctor utuombee. Kazana na wewe ili uwepo. Nafasi zipo tele haija jaa.
Mimi huwa napinga maneno kama mtakatifu, mlokole (aliyeokoka) n.k.Nimetafuta na kufuatilia(Google n.k.) sijaona.
Halafu ukitumi neno "anasemekana" hiyo ni here say; i.e. kuna watu au jamii ndo wanamsema hivyo. Ni kazi ngumu sana kuwapata hao wanaosema hivyo. ili watuthibitishie.
Mimi sio mmoja wa hao wanaosema hivyo.Ninachojua ni kwamba Papa ni sawa na binadamu wengine wote na anaweza pia asiwe mtakatifu.