Nakushauri kwamba umepewa akili na maarifa ili uvitumie; sio katika mambo ya kimaisha tuu(Mambo ya kidunia) bali hata katika masuala ya Imani yako.Mimi ni mkatoliki safi, ila vingn wanazingua
Uko sahihi kabisa. Ni ujinga sana kwa mtu say, yupo Moro mjini anasema anakwenda Dsm lakini anapanda gari liendalo Dom. Je; atafika Dsm kweli mtu huyo? Hata akisema au kutamka kwa sauti kubwa na kwa imani kuu "mimi naenda Dsm." kamwe hatokaa afike milele.Mimi huwa napinga maneno kama mtakatifu, mlokole (aliyeokoka) n.k.
Hata Sulemani Mwalimu juzi alisema Mimi mwanasimba, lakini ghafla jana akawa mwanayanga.Uko sahihi kabisa. Ni ujinga sana kwa mtu say, yupo Moro mjini anasema anakwenda Dsm lakini anapanda gari liendalo Dom. Je; atafika Dsm kweli mtu huyo? Hata akisema au kutamka kwa sauti kubwa na kwa imani kuu "mimi naenda Dsm." kamwe hatokaa afike milele.
Ninachotambua ni kwamba Mwisho wa safari ndo mtu anaweza kusema NIMEFIKA pale nilipokusudia. Haiwezekani unapanda boti hapo Dar. unaelekea Zenj. halafu unajigamba nimeshafika . Unasahau hapo njiani/baharini kunaweza kutokea dhoruba na chombo ulichopanda kinaweza kisifike Zenj.
Wapo wengi na Mifano hai ipo kwa waliojitambulisha kuwa ni watakatifu na wameokoka lakini leo hii ni chapombee, wazinifu, wezi na matapeli na mambo kama hayo. -wameharibika kabisa hawafai ni kero ndani ya Jamii.
Umeonae! - Japo mm sikujaliwa kupenda na wala sio shabiki wa mpira wa miguu na huwa sifuatilii mambo ya mpira mm napenda music esp. kucheza vyombo vya muziki -kinanda na gitaa.Hata Sulemani Mwalimu juzi alisema Mimi mwanasimba, lakini ghafla jana akawa mwanayanga.