Sasa deni la serikali lifikika Tril. 100 itakuaje

Sasa deni la serikali lifikika Tril. 100 itakuaje

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25

Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7

Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi

LET'S GO
FB_IMG_17182816006533659.jpg
 
Kuchukua mikopo sio issue, cha muhimu hiyo mikopo inawasogezaje kiuchumi? Kila familia ya kimarekani inadaiwa TSh. 348 Million, ambazo ni kama zinavyooneshwa hapa kwenye national debt clock. Sasa hilo deni wanalodaiwa wamarekani, walipokuwa wamechukua wamefanyia nini kuwasogeza mbele kiuchumi? Nasisi hizo trillion 91 tulizochukua tumefanyia nini?
Screenshot_20240613_154627_Chrome.jpg
 
Hivi Zitto Kabwe yuko wapi? Alitishia kwenda mahakamani akidai deni la taifa wakati wa Magufuli lilikuwa linakua kwa kasi sana katika miaka mitano ya mwanzo. Mama katika hii miaka mitatu tu kakopa kiasi gani? Na wakati huo huo wanasema TRA wanavuka kiwango cha makusanyo kila mwezi.

Kwa nini Zitto hasemi cho chote wakati huu?

IMG-20240607-WA0052(1).jpg
 
Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25

Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7

Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi

LET'S GOView attachment 3016453
Kwani Nape amesemaje? Maana kile kipimdi cha Mwenda zake deni lilipofika trilioni 46 aliwaka sana halafu akalia mno mpaka nikamuonea huruma.
 
Back
Top Bottom