Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
hata likifika tririon 1000 hakuna atayekuja kugonga mlango wako kukudai!Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25
Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7
Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi
LET'S GOView attachment 3016453
Unamaanisha ninihata likifika tririon 1000 hakuna atayekuja kugonga mlango wako kukudai!
Mbona kidogo hiyoooo. Ni kama USD 40 billion. Kidogo sana hiyo.Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25
Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7
Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi
LET'S GOView attachment 3016453
Eeeee eti nini?Iakuwa kama "JUSI, JOTO YA JIWE KWISAJUA".
Huu ni msemao uliowahi kuwa maarufu sana enzi zile, kabla wewe haujazaliwa
Sawa tuu hata Uchumi unakua kwani kuna shida?Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25
Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7
Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi
LET'S GOView attachment 3016453
Angalia usije ukanifanya nikabubujikwa na machozi kama kamanda Lukasi Mwashambwa jamani!Ccm inatosha, mama anatosha kutuvusha.....
Hoja dhaifu sana...ila una haki ya kuwaza hivyo!hata likifika tririon 1000 hakuna atayekuja kugonga mlango wako kukudai!
Kichwa Suzuki injini ya isuzuhata likifika tririon 1000 hakuna atayekuja kugonga mlango wako kukudai!
Big Brain DefenderUnamuamini mtu wa CCM...
hiyo ngoma ishavuka 100
Kwani Nape amesemaje? Maana kile kipimdi cha Mwenda zake deni lilipofika trilioni 46 aliwaka sana halafu akalia mno mpaka nikamuonea huruma.Yani juzi juzi tu ripoti ya CAG ilikuwa inasoma deni L taifa ni Trial. 82.25
Leo tena Prof, anasema deni La seikali limefikia Tril. 91.7
Ila sio vibaya kwakuwa lengo ni kuijenga nchi yetu na kuinua kiuchumi zaidi
LET'S GOView attachment 3016453