Perfecto pukka
Member
- Sep 16, 2016
- 18
- 15
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.Umenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
Hahahaha [emoji512]Umenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
Mapenzi shilingi[emoji383]Mapenzi siku hizi ni kama mchuzi tu.
Hahahahhhh uyo alikua hana hela ya cakeUmenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
Usifananishe mchuzi na vitu vya kijingaMapenzi siku hizi ni kama mchuzi tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hawa viumbe acha kabxa....ila mungu anawona...[emoji85] [emoji85]Itafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.
Wanakuambia hivii..."Jiongeze"
Hujaelewa nini namaanisha.Usifananishe mchuzi na vitu vya kijinga
Mapenzi gazeti.Mapenzi shilingi[emoji383]
Nawewe ujanielewa nini namaanishaHujaelewa nini namaanisha.
teh teh teh teh..........Usifananishe mchuzi na vitu vya kijinga
Nimemaanisha kuwa mapenzi siku hizi time yoyote yanavunjika.Nawewe ujanielewa nini namaanisha
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimemaanisha kuwa mapenzi siku hizi time yoyote yanavunjika.