Sasa hayo ni mapenzi au utapeli?

Umenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
 
Itafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.

Wanakuambia hivii..."Jiongeze"
 
Hahahaha [emoji512]
 
Hahahahhhh uyo alikua hana hela ya cake
 
Reactions: lup
Itafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.

Wanakuambia hivii..."Jiongeze"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hawa viumbe acha kabxa....ila mungu anawona...[emoji85] [emoji85]
 
Date type yako we ukishaona mschana yupo Chuo bado jua kuwa ana akil ya ujana ujana ndo anajifunza Ukiona anapenda luxury mwambie Tu kuwa me siwez ajue
 
duh! maisha gharama kweli huo ni ujambanoka sio ujambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…